Ziwa Bisina (au ziwa Salisbury) ni ziwa dogo la Uganda kaskazini kwa Ikweta (Wilaya ya Kumi).
Ziwa hilo hupokea maji kutoka Ziwa Opeta na huyamwaga katika Ziwa Kyoga.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Bisina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |