Ziwa Mburo ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Kiruhura.
Ziwa hilo lina eneo la kilometa mraba 13.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Mburo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |