Ziwa Mulehe ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Kisoro.
Ziwa hilo lina eneo la kilometa mraba 2.44.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Mulehe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |