Ziwa Nabugabo

Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa Nabugabo ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Masaka.

Ziwa hilo liko kilometa 4 kutoka Ziwa Nyanza ambalo lilitengana nalo miaka 5,000 iliyopita.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Stager, J. Curt; Westwood, J; Grzesik, D; Cumming, B.F (2005), "A 5500-year environmental history of Lake Nabugabo, Uganda", Palaeogeography, Palaeoclimatology, Palaeoecology, 218 (3–4): 347, doi:10.1016/j.palaeo.2004.12.025
  • Tovuti ya Ziwa Nabugabo Archived 20 Desemba 2017 at the Wayback Machine.
  • Geonames.org