Ziwa Opeta ni ziwa dogo la Uganda kaskazini kwa Ikweta (Wilaya ya Kumi).
Ziwa hilo hufaidika na mvua za mlima Elgon na hutoa maji kwa Ziwa Opeta na hatimaye kwa Ziwa Kyoga.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Opeta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |