Abdallah Hamis Ulega (alizaliwa 28 Septemba 1979) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Mkuranga kwa miaka 2015 – 2020. [1]
![]() |
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |