Adekunle Gold

Adekunle Almoruf Kosoko (aliyezaliwa 28 Januari 1987), anayejulikana kitaaluma kama Adekunle Gold au AG Baby, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa kiafrika kutoka Nigeria kwa sasa aliyesainiwa katika lebo ya Def Jam Recordings.[1][2]

  1. Mamo, Heran (14 Machi 2023). "Nigerian Afropop Singer Adekunle Gold Signs With Def Jam". Billboard. Iliwekwa mnamo 15 Machi 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "I didn't lobby to be signed by Olamide – Adekunle Gold". Vanguard Newspaper. 12 Agosti 2015. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adekunle Gold kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.