Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Ghana |
Jina halisi | Adwoa |
Jina la familia | Bayor |
Tarehe ya kuzaliwa | 17 Mei 1979 |
Mahali alipozaliwa | Accra |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo |
Alisoma | Robert Morris University Illinois |
Mwanachama wa timu ya michezo | F.C. Indiana, FF USV Jena, F.C. Indiana, Ghana women's national football team, Rochester New York FC |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 10 |
Ameshiriki | 2007 FIFA Women's World Cup |
Adjoa Bayor (alizaliwa 17 Mei 1979) ni mwanasoka wa zamani wa nchini Ghana ambaye alicheza kama kiungo. Amewahi kuwa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Ghana. [1] [2]
Bayor alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya kandanda ya wanawake wa Ghana katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 1999 nchini Marekani.
Alikuwa mshiriki wa timu ya World All Stars iliyocheza dhidi ya timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya China mwezi Aprili 2007 huko Wuhan, Uchina . [3]
Amewahi kuichezea klabu ya Ghatel Ladies huko Accra, Ghana na pia ameichezea klabu ya FC Indiana ya Marekani. [3] Bayor alijiunga mnamo 21 Januari 2009 na timu ya FF USV Jena. [4]
{{cite web}}
: CS1 maint: archived copy as title (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adjoa Bayor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |