Akeem Agbetu

Akeem Oriyomi Agbetu

Akeem Oriyomi Agbetu (alizaliwa 10 Machi 1988) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka timu ya taifa ya Nigeria, ambaye anacheza kama mshambuliaji.

Kwa msimu wa 2014-2015 Agbetu alijiunga na klabu ya Le Havre AC ya katika ligi ya 2 akikubali mkataba wa miaka miwil . [1]

  1. Alexandre Chochois (18 Septemba 2014). "Le Havre : Un offensif nigérian en renfort (off.)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-12-21. Iliwekwa mnamo 18 Septemba 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akeem Agbetu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.