Alan Hurwitz

Rais wa 10 wa chuo kikuu cha Gallaudet

Alan Hurwitz (alizaliwa 17 Septemba 1942) ni mwalimu wa Marekani ambae aliwahi kuwa Rais wa kumi katika chuo kikuu cha Gallaudet kuanzia 2010 hadi 2015.[1] Hurwitz ndiye mtu wa kwanza kuzaliwa kiziwi, na Myahudi wa kwanza, katika nafasi hii.[2]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alan Hurwitz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.