Albino Binda

Albino Binda (9 Aprili 190430 Machi 1976) alikuwa mwendesha baiskeli wa mbio kutoka Italia.[1] Alishinda hatua ya 8 ya Giro d'Italia ya mwaka 1928. Alikuwa mdogo wa Alfredo Binda.[2]

  1. "Albino Binda". Cycling Archives. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Giro d'Italia 1928". Cycling Archives. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albino Binda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.