Alexis Billiet (28 Februari 1783 – 30 Aprili 1873) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki la Ufaransa, kardinali na mtawala.
Alikuwa Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Chambéry kuanzia mwaka 1840 hadi kifo chake mwaka 1873.[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |