Antonino Arata

Antonino Arata (28 Oktoba 188325 Agosti 1948) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia aliyetumikia katika huduma ya kidiplomasia ya Vatikani kwa muda wa miaka ishirini, hasa katika Ulaya Mashariki. Alikuwa askofu mkuu mwaka 1967 na kisha alihusika na Baraza la Kipapa (Roman Curia) kuanzia mwaka 1941 hadi kifo chake.[1]

  1. Streikus, Arūnas (2012). "The History of Religion in Lithuania since the Nineteenth Century". Katika Alisauskiene, Milda; Schröder, Ingo (whr.). Religious Diversity in Post-Soviet Society: Ethnographies of Catholic Hegemony and the New Pluralism in Lithuania. Ashgate Publishing. uk. 43. Iliwekwa mnamo 7 Mei 2020.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.