Aventino wa Larboust (Bagnères-de-Luchon, 780 hivi - Saint-Aventin, 13 Juni karne ya 8) alikuwa mkaapweke katika bonde la Larboust, kwenye milima ya Pirenei, kusini mwa Ufaransa, hadi alipouawa na Waislamu[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 13 Juni[2].
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |