Bassey Abobo Akpan (amezaliwa 6 Januari1984 jijini Eket, Jimbo la Akwa Ibom) ni mchezaji wa soka wa Nigeria ambae anacheza kama golikipa klabu ya ligi kuu ya Nigeria (NPFL), Kano Pillars.[1]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bassey Akpan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.