Billel Attafen (alizaliwa 3 Julai 1985) ni mchezaji wa soka wa Algeria. Kwa sasa anachezea klabu ya MC Alger katika ligi ya Algeria Professionnelle 1.
Katika majira ya kiangazi ya 2009,Attafen alijiunga na MC Alger,baada ya kukaa kwa misimu minne na NA Hussein Dey.[1]
Mnamo April 27,2007,Attafen aliitwa na kocha Abdelhafid Tasfaout kwenye Timu ya Taifa ya Algeria ya vijana chini ya miaka 23 katika kambi ya mazoezi huko Algiers kwaajili ya kujiandaa na michezo yote ya Afrika ya 2007.[2]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Billel Attafen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |