Bonaya Adhi Godana (alizaliwa Dukana, Kenya, Septemba 2, 1952 - Marsabit, Kenya, Aprili 10, 2006) alikuwa waziri wa mambo ya nje wa Kenya kuanzia januari 1998 hadi 2001.[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() | Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |