Abati mkuu Boniface Wimmer.
Boniface Wimmer , OSB (1809 – 1887 ), alikuwa abati kutoka Ujerumani ambaye mwaka 1846 alianzisha monasteri ya kwanza ya Wabenedikto nchini Marekani , Saint Vincent Archabbey huko Latrobe, Pennsylvania , takriban maili arobaini kusini mashariki mwa Pittsburgh .[ 1] [ 2] [ 3]
Mnamo mwaka 1855, Wimmer alianzisha Jumuiya ya Wabenedikto ya Kikasino ya Kiamerika, sehemu ya Shirikisho la Wabenedikto wote duniani.[ 4] [ 5] [ 6]
↑ "Founder's Death: SVC Planning To Observe Anniversary ." Latrobe, Pennsylvania: The Latrobe Bulletin , November 27, 1987, p. 1 (subscription required).
↑ "Dead! Arch-Abbot Wimmer Passes Away ." Latrobe, Pennsylvania: The Latrobe Advance , December 14, 1887, p. 1 (subscription required).
↑ "Death of Abbot Wimmer ." Wilkes-Barre, Pennsylvania: The Wilkes-Barre Daily News-Dealer , December 9, 1887, p. 4 (subscription required).
↑ "Personal and Political ." Effingham, Illinois: The Effingham Democrat , December 16, 1887, p. 4 (subscription required).
↑ "Archabbot Wimmer (sic): Died Yesterday at St. Vincent's Abbey, Latrobe, Pa. " Saint Paul, Minnesota: The Saint Paul Globe , December 9, 1887, p. 6 (subscription required).
↑ "Telegraphic Briefs ." Little Rock, Arkansas: Arkansas Democrat , December 10, 1887, p. 8 (subscription required).
Makala hii bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari .