Chancel Massa

Chancel Massa
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaJamhuri ya Kongo Hariri
Tarehe ya kuzaliwa24 Januari 1987, 28 Agosti 1985, 24 Januari 1985 Hariri
Mahali alipozaliwaBrazzaville Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timugoalkeeper Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoAC Léopards, AC Léopards, Congo men's national football team Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Ameshiriki2015 Africa Cup of Nations Hariri

Chancel Massa (alizaliwa 24 Januari 1983) ni mchezaji wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambaye anacheza kama beki au mlinzi wa klabu AC Léopards.

Kazi ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Januari 2014, kocha Claude Leroy alimkaribisha katika kikosi cha timu ya taifa ya Kongo kwa ajili ya michuano ya Afrika mwaka 2014.

Timu hiyo ya taifa iliondolewa katika hatua za makundi baada ya kufungwa mechi dhidi ya Ghana na Libya na kupata ushindi dhidi ya Ethiopia.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chancel Massa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.