“Cradle to the Grave” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Thug Life kutoka katika albamu ya Thug Life Volume 1 | |||||
Imetolewa | 1994 | ||||
Imerekodiwa | 1994 | ||||
Aina | G Funk | ||||
Studio | Interscope | ||||
Mtunzi | Tupac Shakur | ||||
Mwenendo wa single za Thug Life | |||||
|
"Cradle to the Grave" (hutajwa kama: Cradle 2 the Grave) ni kwenye Thug Life (kundi la kwanza la albamu ya 2Pac), Thug Life Volume 1. Hiki ni kibao pekee kutoka katika albamu na kufikia nafasi ya chati, kwa kushika #25 kwenye chati za Billboard Hot Rap Singles na #91 kwenye chati za Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks.[1]
Makala hii kuhusu wimbo wa hip hop bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |