Daniel Anrig

Kanali Daniel Rudolf Anrig (10 Julai 1972) alikuwa Kamanda wa thelathini na nne wa Walinzi wa Kipapa wa Uswisi, aliyeteuliwa na Papa Benedict XVI tarehe 19 Agosti 2008.[1]

  1. Bunson, Matthew (2008-10-15). Our Sunday Visitor's Catholic Almanac. Our Sunday Visitor Publishing. ku. 261–. ISBN 9781592764419. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2012.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Anrig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.