Donino wa Fidenza (Parma, karne ya 3 - Fidenza, 304 hivi) alikuwa Mkristo wa Italia Kaskazini aliyeuawa kwa imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma [1][2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Oktoba[3].
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |