Doumouh Ibrahim Al Bakkar (kwa Kiarabu: دموع ابراهيم البقار ; alizaliwa 7 Aprili 1990) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa Lebanon ambaye anachezesha katika Ligi ya Soka ya Wanawake ya Lebanon.
Alizaliwa 7 Aprili 1990 huko Tripoli, Lebanon, [1] Al Bakkar alisoma katika shule binafsi huko Zgharta . [2] Alifanya mazoezi ya michezo mbalimbali shuleni, ambayo ilimpelekea kucheza mpira wa kikapu katika timu ya Shabab Al Azm na Homenetmen . [2] Baada ya kumaliza diploma, Al Bakkar alicheze klabu ya soka ya Arabi Tripoli [3] akiwa na umri wa miaka 16. [2] [4] Akiwa na umri wa miaka 19, alianza kufundisha timu mbalimbali za wasichana. [2] [5]
|date=, |archivedate=, |accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Doumouh Al Bakkar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |