Edda wa Winchester

Edda wa Winchester, O.S.B. (alifariki Winchester, Uingereza, 7 Julai 705) alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka Ufaransa aliyepata kuwa abati wa monasteri fulani halafu (676) askofu wa Wasaksoni wa Magharibi (Wessex) akiwa na makao huko Dorchester na baadaye akayahamishia Winchester pamoja na masalia ya Birinus[1].

Beda Mheshimiwa aliandika juu yake kwa sifa.

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Julai[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.