Elizabeth Ambogo | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Elizabeth Ambogo | |
Tarehe ya kuzaliwa | 28 Julai 1990 | |
Mahala pa kuzaliwa | Kenya | |
Nafasi anayochezea | Mlinzi wa goli | |
Timu ya taifa | ||
Kenya | ||
* Magoli alioshinda |
Elizabeth Ambogo (alizaliwa 28 Julai 1990) ni mwanasoka wa Kenya ambaye anacheza kama mlinzi.
Amekuwa mwanachama wa timu ya taifa ya wanawake ya Kenya.[1]
Ambogo aliichezea Kenya katika Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake 2016.[2]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Elizabeth Ambogo kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |