Erasmus Desiderius Wandera (16 Aprili 1930 – 8 Desemba 2022) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Uganda aliyewahi kuhudumu kama Askofu wa Jimbo la Soroti kuanzia 29 Machi 1981 hadi alipostaafu 27 Juni 2007.
Askofu Wandera alifariki dunia tarehe 8 Desemba 2022 akiwa na umri wa miaka 92.[1]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |