Francis Chansa (amezaliwa Lubumbashi, 10 Septemba 1974) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kongo
Alishiriki katika Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2006 akiwa na timu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Année | Club | Pays |
---|---|---|
1997-98 | Bush Bucks | Afrika Kusini |
1998-99 | Durban United | Afrika Kusini |
1999-00 | Rotal Tigers | Afrika Kusini |
2000-01 | Lamontville Golden Arrows | Afrika Kusini |
2001-02 | Lamontville Golden Arrows | Afrika Kusini |
2002-03 | Lamontville Golden Arrows | Afrika Kusini |
2003-04 | Lamontville Golden Arrows | Afrika Kusini |
2004-05 | Orlando Pirates | Afrika Kusini |
2005-06 | Orlando Pirates | Afrika Kusini |
2006-07 | Orlando Pirates | Afrika Kusini |
2007-08 | Orlando Pirates | Afrika Kusini |
2008-09 | Santos Cape Town | Afrika Kusini |
2009-10 | Wits University | Afrika Kusini |
2010-11 | Mpumalanga Black Aces | Afrika Kusini |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Francis Chansa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |