Francis Xavier Roque (9 Oktoba 1928 – 12 Septemba 2019) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Marekani aliyewahi kuhudumu katika Jimbo Kuu la Huduma za Kijeshi.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |