Franziskus Eisenbach

Franziskus Eisenbach (1 Mei 194329 Mei 2024) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Ujerumani, aliyewahi kuwa askofu msaidizi wa Mainz kuanzia 1988 hadi 2002.[1]

  1. "Weihbischof Franziskus Eisenbach verstorben". bistummainz.de (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2025-02-06.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.