Gabi

Gabi akiwa Atletico Madrid (2013)

Gabriel Fernández Arenas (anajulikana kama Gabi; alizaliwa 10 Julai 1983) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea Atletico Madrid na timu ya taifa ya Hispania kama kiungo mkabaji.

Gabi alizaliwa huko Madrid. Kama tunda la chuo cha vijana wa Atletico Madrid, alikuwa mchezaji mzuri katika msimu wake wa kwanza na baada ya msimu kuisha alisainiwa na Colchoneros.

Mwanzoni mwa Februari 2007, Gabi alijiunga na Real Zaragoza kwa uhamisho wa milioni 9, akikubaliana na mkataba wa miaka minne hadi julai 2011.

Mnamo 1 Julai 2011, Gabi akarudi Atletico Madrid kwa ada ya uhamisho ya £ milioni 3.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.