George William Coleman (1 Februari 1939 – 24 Mei 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.
Coleman aliwahi kuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Fall River huko Massachusetts kuanzia mwaka 2003 hadi 2014.[1]
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |