Gibson Kente (1932 - 7 Novemba 2004) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika tamthiliya. Mwaka wa 2003 alitangaza kuwa alipatwa na Ukimwi akafa baada ya mwaka mmoja.
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gibson Kente kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |