Aina | Kampuni binafsi |
---|---|
Watu wakuu | Paul Rosenberg (mkurugenzi) |
Goliath Artists ni kampuni ya kusimamia wasanii na studio ya kurekodi muziki kutoka nchini Marekani. Ilianzishwa na rais na mwanzilishi mwenza wa Shady Records, Paul Rosenberg. Goliath Artist ina ofisi zake katika jiji la New York na Detroit, Michigan.
Jina | Mwaka aliosainiwa |
Studio |
---|---|---|
Eminem | 1999 | Shady · Aftermath · Interscope |
Danny Brown[1] | 2013 | Warp |
Goliath Records | |
---|---|
Shina la studio | Universal Music Group |
Imeanzishwa | 2020 |
Mwanzilishi | Paul Rosenberg |
Usambazaji wa studio | Interscope Records |
Aina za muziki | |
Nchi | Marekani |
Mahala | New York Detroit, Michigan |
Mnamo Februari 21, 2020 iliripotiwa kuwa Paul Rosenberg amejiuzulu kama mkurugenzi mtendaji wa Def Jam Recordings ili kutumia muda wake kuendesha Shady Records, Goliath Artists, na mradi wake mpya wa Goliath Records.[4] Mwaka uliofuata alitangaza msanii wake wa kwanza kwenye lebo ya Goliath Records, rapa kutoka Indiana, Vince Ash na alitoa toleo lake la kisasa la VITO kupitia Interscope.[5]
Jina | Mwaka aliosainiwa |
Matoleo chininya lebo |
---|---|---|
Vince Ash | 2021 | 1 |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Goliath Artists kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |