Gustave Olombe Atelumbu Musilamu (1 Mei 1927, Yaoundé – 17 Februari 2011, Wamba, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo la Wamba.
Alipadrishwa mwaka 1957 na mwaka 1968 aliteuliwa kuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Wamba, ambapo alihudumu hadi alipojiuzulu mwaka 1990.
Askofu Musilamu alifariki tarehe 17 Februari 2011 akiwa na umri wa miaka 83.[1]
{{cite book}}
: Check date values in: |date=
(help)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |