Hannah Alice Hampton (alizaliwa 16 Novemba 2000)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Chelsea F.C. ya Ligi Kuu ya Wanawake Uingereza (WSL)[3][4] na timu ya taifa ya Uingereza [5].Pia Amewahi kuichezea Aston Villa. Hampton ni zao la academia za Stoke City [6]na Birmingham City[7] na pia alitumia miaka mitano katika timu ya vijana ya Villarreal CF.
{{cite web}}
: External link in |work=
(help)
{{cite web}}
: Unknown parameter |dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hannah Hampton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |