Horologium Oscillatorium ni kitabu kilichochapishwa na mwanafizikia Mholanzi Christiaan Huygens mwaka 1673, ambacho kinaelezea kuhusu majaribio ya pendulum na horolojia.[1] Ilichukuliwa kuwa moja ya kazi muhimu zaidi ya masuala ya umakanika katika karne ya 17. [2]
{{cite book}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Horologium Oscillatorium kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |