Ignacio Fontes

Ignacio Fontes García-Balibrea[1] (alizaliwa Granada, 22 Juni 1998) ni mwanariadha kutoka Hispania[2]. Ameshiriki kwenye mbio za umbali wa kati na amewakilisha nchi yake kwenye mashindano mbalimbali, ikiwemo michuano ya miaka na mashindano ya cross country. Alishiriki kwa mara ya kwanza michuano ya 2021 ya European Athletics Indoor Championships jijini Toruń, Polandi[3].

  1. Real Federación Española de Atletismo (rfea.es)
  2. "Ignacio FONTES | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
  3. DossierESP_Atletismo_TorunEICH2021.pdf (rfea.es)