Iwao Aizawa (相沢 巌夫, Aizawa Iwao,29 Agosti 1906 - Oktoba 1945) alikuwa mwanariadha wa Japani ambaye alishiriki katika mbio za mita 100 za wanaume katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 1928. Alihudumu wakati wa Vita ya pili ya dunia, alifariki katika Gereza la New Bilibid baada ya vita kutokana na malaria.[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Iwao Aizawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |