James Joseph Sweeney

James Joseph Sweeney (19 Juni 189819 Juni 1968) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Alikuwa Askofu wa kwanza wa Honolulu, Hawaii, akihudumu kutoka mwaka 1941 hadi kifo chake mwaka 1968.[1]

  1. Curtis, Georgina Pell (1961). The American Catholic Who's Who. Juz. la XIV. Grosse Pointe, Michigan: Walter Romig.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.