James Oscar McKinsey (Juni 4, 1889 – Novemba 30, 1937) alikuwa Mmarekani maarafu kama mhasibu, mshauri wa masuala ya usimamizi, profesa wa uhasibu katika Chuo Kikuu cha Chicago na mwanzilishi wa kampuni ya McKinsey & Company.[1]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu James O. McKinsey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |