Jean-Paul Randriamanana

Jean-Paul Randriamanana (27 Juni 19599 Novemba 2011) alikuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Antananarivo, Madagaska, na Askofu wa Jimbo la Paria katika Proconsolare.

Alipata daraja ya upadre mwaka 1979 na aliteuliwa kuwa Askofu mwaka 1999. Alikufa akiwa madarakani.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.