Jesús Arturo Esparza (alizaliwa Agosti 1990)[1] ni mwanariadha wa mbio ndefu wa Mexico. Mwaka 2020, alishindana kwenye mbio za wanaume katika michuano ya riadha nusu marathoni duniani mwaka 2020 iliyofanyika Gdynia, Poland.[2]
Mwaka 2017 aliiwakilisha Meksiko kwenye mashindano ya 2017 Summer Universiade yaliyofanyika Taipei, Taiwan, katika tukio la nusu marathoni kwa wanaume.[3] Akamaliza akishinda nafasi ya 23.[3]
Alishindana marathoni ya wanaume kwenye olimpiki ya majira ya joto mwaka 2020 katika jiji la Tokyo, Japani.[4]
{{cite journal}}
: Check date values in: |date=
(help); Missing or empty |title=
(help)
{{cite journal}}
: Cite journal requires |journal=
(help)