Johan Grebongo (alizaliwa 18 Januari 1994) ni mchezaji wa kimataifa wa mpira wa kikapu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati pia ni mchezaji wa klabu ya Mulhouse inayoshitiki katika ligi ya LNB Pro B.[1]
Grebongo anaiwakilisha Jamhuri ya Afrika ya Kati katika mashindano ya kitaifa. Aliishindia nchi yake katika mashindano ya AfroBasket 2013 na AfroBasket 2015 chini ya kocha mkuu Aubin-Thierry Goporo.[1][2]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Johan Grebongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |