Johannes Baptist Franzelin (alizaliwa Aldein, Tyrol, tarehe 15 Aprili 1816; alifariki Roma, tarehe 11 Desemba 1886) alikuwa mtaalamu wa teolojia wa Jesuit kutoka Austria na Kardinali.[1]
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |