John Janney

John Janney (8 Novemba 17985 Januari 1872) alikuwa mwanachama wa Chama cha Whig huko Virginia kabla ya kuvunjika kwake, mjumbe wa Bunge la Virginia kutoka Kaunti ya Loudoun, na aliwahi kuwa Rais wa Mkutano wa Kujitenga wa Virginia mwaka 1861.[1]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Janney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.