John Joseph Hirth (26 Machi 1854 – 6 Januari 1931) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika Afrika Mashariki ya Kijerumani, anajulikana kama mwasisi wa Kanisa nchini Rwanda.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |