Joseph Abangite Gasi (1 Januari 1928 – 12 Septemba 2014) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.
Alipadrishwa mwaka 1957 na baadaye aliteuliwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Tombura-Yambio, Sudan Kusini. Alihudumu hadi alipostaafu mwaka 2008.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |