Juan José Asenjo Pelegrina (alizaliwa 15 Oktoba 1945) ni askofu wa Hispania wa Kanisa Katoliki.
Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Seville kuanzia tarehe 5 Novemba 2009 hadi kustaafu kwake tarehe 17 Aprili 2021.[1]
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |