Kerugoya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Kirinyaga |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 34,014 |
Kerugoya ni mji wa Kenya ya Kati, makao makuu ya kaunti ya Kirinyaga. Ni kata ya Eneo bunge la Kirinyaga ya Kati[1].
Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 34,014[2].
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kerugoya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |