Kikuyu | |
Mahali pa mji wa Kikuyu katika Kenya |
|
Majiranukta: 1°15′0″S 36°40′0″E / 1.25000°S 36.66667°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Kiambu |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 233,231 |
Kikuyu ni mji wa Kenya ya Kati, katika Kaunti ya Kiambu, pia ni kata ya eneo bunge la Kikuyu[1].
Katika sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 233,231 [2].
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kikuyu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |